Hamza chidoli
kwa huduma safi ya kukoboa na kusaga nafaka tuone sisi.tuko mjini MANGAKA karibu na shule ya msingi
01/02/2023
🚨Taarifa iliyoshtua wengi ni juu ya wadhamini wakuu wa Yanga kampuni ya SportPesa kulalamika hatua ya klabu hiyo kuingia mkataba na wadhamini wengine wakuu maalum lakini bosi mmoja amefafanua.
"Tuliwatafuta mara nyingi kuanzia Novemba mwaka jana baada ya kufuzu hatua ya makundi, tukawaambia kimaandishi kwamba tunatafuta namna ya kuisaidia klabu kwa sababu kubwa wao hawataruhusiwa kikanuni,"
"Wakatuambia tuwapelekee uthibitisho kwamba CAF hawairuhusu SportPesa, tukamtuma mtu wetu CAF akapewa uthibitisho huo na tukarudi na kuwasilisha kwao, hawakujibu, tukawakumbusha hawakujibu".
"Baada ya muda mwaka huu mapema tukawajulisha kwamba bado tunawatambua wao kuwa wadhamini wetu wakuu lakini tumepata mdhamini maalum ambaye hana mgongano nao wa kimaslahi ili tumtumie kwenye hizi mechi sita tu za hatua ya makundi".
Via Mwanaspoti
01/02/2023
Kukaa kimya hakuzuii hukumu

14/01/2023
K**a humjui Ibrahim Ajibu basi ndyo huyu
Majibu nipendayo mimi #SisiNiMashahidiTu #hallaywsmm🇹🇿
08/01/2023
Apo chacha
Baada ya kuona kwa Benard Morrison wamefanikiwa wakaja na gia ile ile ya Urubuni ili wampate Feisal kwa Bure wakumbuke vya kunyonga vina faida na Hasara, naona kwa sasa wameangukia pua wafwate kanuni na taratibu tutawauzia Feisal na sio kutaka kupita mlango wa Nyuma.
Ndio kwa Kifupi timu inayoteseka na mafanikio ya Yanga kwa sasa ni Simba Azam kabaki k**a mshindani tu, baada ya Mbinu zao chafu kugundulika na makapi ya Simba yote kuondolewa pale Yanga wamebaki wanaweweseka tu.
Azam katumika k**a chambo pasipo na shaka k**a dhuruma zao zingefanikiwa Feisal angeibukia Simba na Sio Azam hii ishu ilikua ya kimkakati sana.
Angalia gemu na Azam dogo akaanza kuleta mapicha ili yanga ipoteze mchezo na Simba kuikaribia Prof Nabi anakwambia dogo alikua kwenye mpango wa gemu ile mara ghafla dogo akachafua hali ya hewa.
Angalia gemu na Mtibwa Dogo akaleta mikwara yake tena akiwa Dubai ili kuitoa Yanga kwenye umakini ila Mungu alisaidia na Yanga ikashinda.
Tumeenda mapinduzi dogo kazua sintofahamu tena wanawasiliana na Saido.
Tukumbuke Saido hakuachwa Yanga kwa ishu za kushuka kiwango bali ni kuwa na mawasiliano ya karibu na Viongozi wa Simba Yanga ikielekea kucheza mechi ya Nusu fainali na Simba pale Mwanza.
Hongera Pro Nabi kwake hakuna Staa nidhamu ndio kila kitu akapendekeza Ntibazonkiza aachwe ataharibu timu.
Ndani na Nje ya uwanja Azam na Simba ni k**a Sunche na Kapeto tu lengo lao kubwa likiwa ni kuidhoofisha Yanga.
Wanayanga ni wakati wa kushik**ana sana na kuzidi kuiombea timu yenu kwani mna maadui wengi tu.
Mbona Safari ya Simba Dubai imekua ghafla sana kunani i predict baada ya kwenda Dubai na kufika salama watasajili mchezaji mkubwa kidogo.
🇹🇿
Heri ya mwaka mpya 2023
31/12/2022
My boss
29/12/2022
Mhhh!!!
Nimewanasa uku😆😆😆😆😆😆
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Contact the business
Telephone
Website
Address
MCHANGANI MANGAKA
Mangaka
BOX246NANYUMBU-MASASI