18/02/2023
Craft strategies
Our company deals with led solar home lighting kits, led solar lanterns, solar mobile chargers and s
Our company integrates with R&D, manufacture and export in led solar home lighting kits, led solar lanterns, solar mobile chargers and solar Inverters of different kinds. We are committed to providing innovative solar energy solutions catering to different market demand. With advanced technology, professional staff, high-precision machines, strict quality control and complete production process,
18/02/2023
Craft strategies
16/01/2022
06/07/2016
Je wewe ni mwanafunzi, je unasoma kwa shida bila umeme, Je una malengo ya kufika mbali kwenye elimu yako, basi Solar Kijiji tunakujali, tunaweza kutimiza ndoto zako, tuandikie utueleze matatizo yako ya umeme, tutakusaidia, Solar Kijiji ni kwa ajili yako
23/06/2016
Say no to kerosene
When a family switches from kerosene to solar light they save an average of $70 a year. This impact can be life-changing because 90% of SunnyMoney customers live below the poverty line.
“I have decided to use the savings for my livestock, I buy grass and medicine for my cows.” Agatha Lyimo, Tanzania
19/06/2016
Solar Kijiji, hii inatosha kuangaza nyumba nzima na kuchaji simu yako ukiwa mjini umeme ukiwa umekatika au ukiwa Kijijini na huna umeme kabisa, Mafuta ya taa, kandili au kibatari utasikia kwa jirani tu, fanya haraka upate offer yako Solar Kijiji
09/06/2016
Solar Kijiji imetimiza 100 likes, na nikawaida yetu kuwazawadia wateja wetu na Fans wetu, ni kipindi kifupi tumejiunga na facebook lakini tumepata support kubwa sana,
Castory Nyangi na Mgaza Omali mmejishindia zawadi zenu za Solar tafadhali tuandikie ili mjue mtapata zawadi zenu wapi Solar Kijiji ni kwa ajili ya wana kijiji, tunawapenda sana
07/06/2016
Solar Kijiji inajali maisha yako, je unafuturu bila umeme?, je unaamka kula daku bila umeme?, tuandikie tueleze matatizo yako ya umeme :), Solar Kijiji itakuwezesha futuru na taa, utakula daku ukiwa na taa yako ya Solar, Ramadhani Kareem
24/05/2016
Solar Kijiji inakidhi mahitaji yako ya kila siku huhitaji fundi aje akuwekee Solar nyumbani kwako, tumekufanyia iwe rahisi kwako na bei nafuu, Pata Solar yako sasa furahia maisha yako
Tanesco wakikata umeme wewe bado utaendelea kuenjoy maisha yako, Jipatie Solar yako ya TV hapa Solar Kijiji, inawasha TV, taa nne, na inacharge simu nn, check hiyo clip Wema Amrani hii inakufaa
20/05/2016
Kwanini uumize macho yako kwa mshumaa wakati umeme umekatika, kwanini uishi bila umeme wakati unanunua mafuta ya taa kila siku: SolarKijiji inabadilisha maisha yako, nunua Solar yako kwa bei nafuu kabisa, Angaza maisha yako, Furahia maisha yako Solar Kijiji
17/05/2016
Ni rahisi sana kuishi maisha bora bila kuwa na kipato kikubwa, fanya maisha yako kuwa rahisi, sisi tutakuwezesha kwa bei nafuu kabisa, tupo kwa ajili ya kukusaidia wewe mwana kijiji