12/08/2025
Wiki iliyopita tulipata fursa ya kukutana na kuungana na wakulima, wachakataji wa mazao, na washirika kutoka sehemu mbalimbali Nchini
Katika kipindi hicho chote:
Tulifanya mazungumzo ya moja kwa moja na wakulima ili kuelewa mahitaji na changamoto zao vyema zaidi.
Tulionesha suluhisho k**a pampu zetu za maji za sola na mashine za kuchakata mazao zinazosaidia kuongeza tija na maendelo kwenye secta ya kilimo.
Tulipata nafasi ya kujenga na kuimarisha ushirikiano na wadau muhimu katika mnyororo wa thamani wa kilimo.
Maonyesho haya yameimarisha dhamira yetu ya kutoa suluhisho sahihi, bora ,na zinazowawezesha wakulima na jamii za vijijini.
Kwa washirika wetu na wakulima wote waliotembelea mabanda yetu ,tunawashukuru sana kwa ushiriki wenu.
Tumedhamiria kuendeleza ari hii na kuleta mabadiliko makubwa zaidi pamoja.
Bank Plc Pass Leasing Rikolto - Vredeseilanden
31/07/2025
🌾Simusolar Nane Nane 2025 🌾
Tunaibadili Kilimo Kwa Teknolojia!
Karibu utembele banda letu tukishirikiana na mashirika na wadau wakubwa wa kilimo kusaidia wakulima kote Tanzania.
Washirika Wetu Mwaka Huu:
✅ TAHA
✅ Holland Greentech
✅ Tume ya Taifa ya Umwagiliaji
✅ Rikolto
✅ Maua Mazuri
..na wengine kibao!
Njoo Uone na Kufurahia:
Teknolojia mpya k**a APMs, pampu za maji kwa nishati ya jua na mengine mengi
Malipo kwa awamu kwa wakulima – rahisi na rafiki
Demos mubashara, ushauri kutoka kwa wataalam
Na ofa kabambe!
📍 Tutakuwepo Katika Viwanja Hivi:
📌 Arusha – Uwanja wa Njiro
📌 Morogoro – Viwanja vya Nane Nane
📌 Zanzibar – Dole Grounds
📌 Mwanza – Uwanja wa Nyamhongolo
📌 Dodoma – Uwanja wa Nzuguni
📌 Mbeya – John Mwakangale Grounds
📌 Simiyu – Viwanja vya Nyakabindi
🎉 Usikose kutembelea banda letu — suluhisho la kisasa kwa kilimo chenye tija linakusubiri!
19/07/2025
Tupo tayari kukufikia ulipo.
Team yetu iko tayari kuwa pamoja nawe kuanzia site survey shambani ili kuelewa vyema mahitaji yako kulingana na eneo lako, hadi ufungaji wa pampu itayokufaa.
Mradi kuna chanzo cha maji kinachoaminika, tutashirikiana nawe kukupatia suluhisho sahihi ambalo ni la uhakika na kudumu.
Wasiliana nasi leo kupata suluhisho sahihi.
01/11/2024
Powering Renewable Energy Opportunities on LinkedIn: Cultivating opportunities: Powering agricultural productivity
🕑 Save the date 🕑 Hear how ground breaking innovation can power agricultural productivity in PREO’s upcoming report launch webinar at 2pm (GMT) on 13th…
27/06/2024
Charities address social and economic challenges, while businesses maximize profit. That is how it’s been for the last century, that is until the 1960s when the first social enterprises formed as a marriage of the two. Today, these mission-driven organizations tackle environmental, health, economic, social, and other issues: think Patagonia, TOMS shoes, Warby Parker, Grameen Foundation, and Etsy, for example.
Ten years ago, we founded Simusolar as a social enterprise with the goal of enabling smallholder farmers and rural businesses to prosper using solar, productivity-enhancing equipment. Since then, over 100,000 people have benefited.
Today we are giving our community the opportunity to directly increase the incomes of low income households that are working hard to navigate climate change. Make a tax-deductible donation to Simusolar and the benefits will accrue to farmers for years to come: https://forms.gle/n8zxXGAi9WuzPaaf8
05/06/2024
In 2024, Simusolar will increase the resilience and take-home incomes of 5,000 smallholder farmers and laborers. From solar irrigation to artisanal fishing to farm processing, we provide rural farmers and businesses with the tools they need to prosper. For the month of June, you can directly help families in rural businesses across Tanzania and Uganda to weather climate change and, in many cases, escape poverty. Invest your charitable giving effectively in a social enterprise and see the compounding growth.
Learn more here: https://docs.google.com/document/d/1K3qJGtnd2VY_FRq2Y4TqWmGvArJb9EObMM8yQHMouuE/edit?usp=sharing
28/03/2022
Vote for Simusolar! Voting is only open until April 1, so don't delay. Recognize the importance of increasing productivity of farmers in East Africa with clean, solar-powered water pumps! Thanks!!
Public Voting- Bayer Foundation Women Empowerment Award 2022 - Get in the Ring
Make your voice heard by voting for your favorite women entrepreneur-led startup solution and they could be the Winner of the Bayer Foundation Women Empowerment Award 2022! Choose your preferred startup in West / Central / Southern / East Africa. Want to know more about each startup? Check out the p...
18/02/2022
We are excited to share an International Women's Day event hosted by Power Africa. Join Feed the Future, Eco, Power Africa, and Simusolar for their learnings on women's access to productive uses of energy in agriculture. Register now: https://rtiorg.zoom.us/webinar/register/WN_ajt5pOE1SL-Cna3nJIe2bg
Home - Simusolar Ltd
Building the foundation of the rural economyBy providing financed productive systems, Simusolar equips rural entrepreneurs to increase productivity and earn a consistent income year round. Pay as you earnSimusolar’s plans are designed so that farmers and fishers earn more than they pay as installm...
22/10/2021
Simusolar Insider Report - Oct 22, 2021 - https://mailchi.mp/simusolar/isyj927zfd-2051953