Fanicha Hub

Fanicha Hub

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Fanicha Hub
, Furniture shop, Dar es Salaam.

Photos from Fanicha Hub
's post 19/01/2025
04/01/2025

Tunaendelea kujivunia kazi yetu! Tumeweza kukamilisha 'Sofa set' ya mteja wetu mwingine k**a alivyohitaji, kwa ubora wa juu na ndani ya muda ulioafikiwa.

Tunaahidi uaminifu, ubora na huduma bora kwa kila mteja. Jiunge na wateja wetu walioweka imani kwetu.

Photos from Fanicha Hub
's post 04/01/2025

L-shape sofa set [7 Seaters] .

πŸ“ : Mbezi Beach-Goigi, DSM.

☎️ : 0756-434-352.

04/01/2025

🚨PATA SAMANI BORA ZA KISASA!

Tunatoa 'Furniture' za kisasa, zenye ubora wa juu na muundo unaovutia.

Pamba nyumba yako kwa samani zinazodumu, zinazokufaa na kufanya nyumba yako iwe ya kifahari.

🚨 - Usikose nafasi hii! Tembelea ofisi zetu zilizopo Mbezi Beach-Goigi, DSM uau piga simu |WhatsApp : +255 756 434 352.

Photos from Fanicha Hub
's post 26/12/2024

🚨 Unahitaji sofa bora? Hii ni BROWN LEATHER SOFA SET ambayo itabadilisha sebule yako! Elegance na ubora vimezingatiwa kwenye kila nyuzi πŸ‘ŒπŸΎ.

πŸ”₯ Kudumu kwa miaka mingi,hii sio sofa ya kawaida!

πŸ’ͺ Imara na rahisi kusafisha, ngozi yake haishuki thamani kulingana na muda.

🌈 Rangi za kisasa, muundo wa kipekee inastahili mjengo wako au ofisi yako.

πŸ’₯ IPO TAYARI βœ….

πŸ’° BEI : Tzs 2M/-.

⚑ Piga simu/Tuma ujumbe πŸ“² sasa na ulete mabadiliko ya ndani ya nyumba yako kwa bei bora na upate sofa ya hadhi yako!

πŸ“ : Mbezi Beach - Goigi, DSM.

21/12/2024

Baada ya wajenzi, kazi ya kuendelea kuipa hadhi zaidi nyumba yako tuachie sisi.

QUALITY LEATHER SOFA yenye muonekano tulivu, classic and simple. Sasa imagine ikaa kwa nyumba yako, kuna amani fulani hivi unaipata πŸ˜‰.

Kuwekeza katika samani za nyumba siyo kupoteza pesa. Kuishi sehemu nadhifu huleta faraja.

SET : Watu 5 ( 2 : 2 : 1)

PRICE : 1.3M.

☎️ : 0756-434-352

πŸ“ : Mbezi Beach - Goigi, DSM.

Photos from Fanicha Hub
's post 30/06/2024

- Je! Umewahi kujiuliza ni kwanini sofa ya watu wawili (Two-seaters) huwa inaitwa LOVE SEAT kwa jina lingine? K**a hufahamu basi leo nitakufahamisha.

- LOVE SEAT πŸ›‹οΈni sofa ni maalum kwa ajili ya kukaliwa na watu 2. Watu hawa wanaokusudiwa hapa ni wale walio katika mahusiano (Me & Ke).

- Mathlani umetembelewa na wageni sebuleni, basi sofa hii ni maalum kwa wenyeji wa nyumba hiyo k**a mume na mke au wapenzi. Mkikaa pamoja hujenga taswira ya kuvutia kwa wale waliowatembelea.

- Pia unaweza kukaa na mwenzi wako kwa ukaribu zaidi pindi mnapozungumza, kuchombezana na vitu k**a hivyo. Hii huwaleta karibu kimwili na kihisia.

Want your business to be the top-listed Furniture Store in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Dar Es Salaam