Gzoe enterpreneur limited

Gzoe enterpreneur limited

Share

Uuzaji viwanja/mashamba kwa cash na installments'ufundishaji wa ujasiriamali na ushauri wa biashara pia'

23/09/2017

Viwanja 6 Vilivyopimwa vipo mapinga karibu na shuleni,km 1:5 toka main road,mil 8 karibu uone,ujiridhishe tuzungumze,nitapokea kwa awamu .mjulishe rafiki ako,ndg,jamaa,jirani,0755/655-939333

26/06/2017

K**a unamiliki ardhi Buyuni mkoani pwani wilaya ya chalinze .Tafadhali safisha eneo lako.fyeka .agizo toka kwa mtendaji Wa kijiji.miezi 2 baada ya tangazo hili ardhi itagaiwa kwa wengine.yaan utanyang'anywa

Photos from Gzoe enterpreneur limited's post 24/05/2017

Heka 16 za mizani zimebaki 10 Heka 6 zimeshachukuliwa.mil 2 kila heka.nakata kuanzia Heka 1.kilomita 4 toka mizani kubwa ya Vigwaza. Km 9 kwenda bandari kavu.umeme .maji vipo karibu .0755/655-939333.

18/05/2017

Gzoe enterpreneur limited Uuzaji viwanja/mashamba kwa cash na installments'ufundishaji wa ujasiriamali na ushauri wa biashara pia'

Photos from Gzoe enterpreneur limited's post 18/05/2017

Tutakutana saa 2:00 kituo Sheli.kituo kimoja kabla ya mizani.na k**a una usafiri binafsi tukutane hapo hapo pia.sababu tunapoingilia ni mizani kabisa magari hayasimami wala hawaruhusu parking. Usikose kiwanja hiki .baadae utasema ningejua.0655/755-939333

Mobile uploads 18/05/2017

Heka laki 7,nauza kuanzia 2 .km 11 toka Vigwaza kambini.karibu.kuona jumamosi SAA 5:30 tutakutana Vigwaza karibu na kituo cha police .0655/755-939333

Photos from Gzoe enterpreneur limited's post 07/05/2017

Viwanja 20/20 visiga madafu au misugusugu ndio njia .km 5 toka morogoro road.kila kipande mil 1:5 .umeme upo napokea awamu 2. 0755/0655-939333

Photos from Gzoe enterpreneur limited's post 06/05/2017

Eneo linauzwa.mil 2 Heka moja zipo Heka zaidi ya 20.km 3 toka mizani mpya ya Vigwaza.km tano au 7 kuelekea inapojengwa bandari kavu.nauza kuanzia Heka moja .eneo lina barabara na umeme na maji .eneo mita 121 toka barabara iendayo bandari kavu.napokea awamu 5. Kwa mawasiliano zaidi.0755/0655-939333

Photos 25/04/2017

Eneo lenye ukubwa wa heka moja na robo.lina matofali ,500 na kokoto Lori I na mchanga Lori 2 .eneo limepakana na shule na zahanati upande mmoja.km 6 toka morogoro road_, lipo buyn Vigwaza .bei ni mil 10:5 waeza lipia lila mwezi laki 5.seriously buyers. Tuwasiliane0755/655-939333

Photos from Gzoe enterpreneur limited's post 09/04/2016

Safari no 1 ya kukagua mashamba yetu....sie tayari wewe unasubiri nn.kazi kwako 0655939333 installment inahusika usije sema hukuwa na hela

Photos from Gzoe enterpreneur limited's post 15/02/2016

Heka 10 za pamoja.kila heka tsh laki nane wasiliana nami kwa simu no 0655939333 kwako wewe unaehitaji

10/01/2016

Habari wale wote mlonunua buyuni ni vizuri mkahakikisha kua mmefyeka maeneo yenu Na kuyaendeleza.by serikali ya kijiji

Want your business to be the top-listed Furniture Store in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Msuguri Bus Stop. Masaki Road Near Anglican Church
Dar Es Salaam
0755939333