SimAccount

SimAccount

Share

SimAccount is a bank on mobile phone and one can open an account using any mobile phone service operators

26/12/2018

Unapotumia SimAccount kulipia Ankara au kulipa bidhaa mbalimbali msimu huu wa sikukuu unajiongezea nafasi za kujishindia kwenye droo ya Shinda na SimAccount ambayo tunaichezesha kila Alhamis

Swali ni je Umejisajili?
Umekamilisha Usajili wako?
K**a bado Piga *150*62 # Sasa

Simu yako, Akaunti Yako

25/12/2018

Msimu huu wa Sikukuu tumia kulipia bidhaa kwenye maduka yote utakayokuta nembo inayosomeka LIPA Kwa hapa *150*62 #

Kulipia bidhaa ni bure, hakuna fedha ya ziada ukayochajiwa, itakurahisishia manunuzi na pia kutunza mahesabu na kuepuka wizi unaweza kujitokeza pale unapotembea na fedha taslimu, Unaweza kulipia bili ukiwa mahali popote wakati wowote na mwisho hauhitaji kubeba fedha taslimu

Tunawatakia Christmas Njema wateja wote wa

21/12/2018

Washindi wetu wa droo ya na leo tarehe 21/12/18 waliojinyakulia kitita cha TZS 2,000,000 na mwingine TZS 1,000,000 wengine hamjachelewa jiungeni leo kwa kupiga *150*62 # k**a una swali uliza kupitia page zetu za Facebook na Twitter na Instagram

21/12/2018

Je una swali lolote kuhusu huduma yetu ya SimAccount? *150" 62 #

Chagua njia ambayo kwako ni rahisi kutufikia kati ya hizo, website, twitter, Instagram au Facebook utajibiwa papo hapo na watoa huduma wetu

Jisajili | Tumia na Ushindeeee
Jiunge leo upate nafasi ya kuwa Mmoja kati ya washindi wetu

Simu yako akaunti yako

06/12/2018

Washindi wetu wa droo ya leo tarehe 06/12/18

Swali kubwa la msingi unalotakiwa kujiuliza ni kwamba, umejisajili?

Na k**a ndio, umemaliza usajili wako?

K**a sio hujachelewa...
Jisajili au Malizia usajili wako leo ili number ya bahati *150*62 # iwe yako

K**a una swali ni wakati wako sasa wa kuuliza kwenye kurasa zetu za instagram na twitter

05/12/2018

Kila ALHAMIS kunakuwepo na Droo ya Shinda na SimAccount *150*62 # bila kusahau kujiunga ni bureeeeeee ..

Swali kubwa la msingi unalotakiwa kujiuliza ni kwamba, umejisajili?

Na k**a ndio, umemaliza usajili wako?

K**a sio hujachelewa...
Jisajili au Malizia usajili wako leo ili number ya bahati *150*62 # iwe yako

K**a una swali ni wakati wako sasa wa kuuliza

03/12/2018

AKAUNTI YA VIKUNDI NA SIMACCOUNT *150*62 #
Akaunti ya vikundi ni moja ya huduma inayopatikana kwenye SimAccount.

Akaunti hii mahsusi kwa ajili ya watu waliojiunga kwa pamoja wakiwa na lengo la kuchanga fedha ili kufikia malengo fulani waliojiwekea.

Inaweza ikiwa ni kikundi katika mfumo wa vikoba, kusaidiana, kuwezeshana nk.

Wanachama watakapofungua akaunti hii wataweza
1. Kuhifadhi fedha kwenye akaunti ya kikundi.
2. Kuchangia/ kuweka fedha kwenye akaunti ya kikundi.
3. Kukopa au kutoa fedha kutoka kwenye akaunti ya kikundi kwa ridhaa ya wanachama.
4. Kurejesha fedha iliyokopwa toka akaunti ya kikundi kadri wanachama walivyokubalina.
5. Kuangalia salio la akaunti ya kikundi, kupata taarifa fupi na ndefu ya michango ya wanachama, na mahesabu yote yanayohusu akaunti ya kikundi.
6. Kupendekeza, kumuondoa na kuchagua kiongozi mpya wa kikundi

02/12/2018

ILI UINGIE KWENYE DROO YA SHINDA NA SIMACCOUNT Lazima uwe na umri sio chini ya miaka 18, uwe unamiliki simu ya mkononi iliyosajiliwa kwa kufuata sheria na taratibu za nchi.

Lazima uwe umesajiliwa Katika huduma ya SimAccountk**a una swali zaidi ni wakati wako wa kuuliza kwenye Instagram page au page

01/12/2018

Ukiwa na SIMAccount unaweza pia kulipia bidhaa kwenye maduka yote utakayokuta yana nembo inayosomeka LIPA KWA SIMAccount HAPA.

Inakurahisishia manunuzi kutunza mahesabu na kuepuka wizi unaoweza kujitokeza pale unapotembea na fedha taslimu.

29/11/2018

Kila ALHAMIS kunakuwepo na Droo ya Shinda na SimAccount *150*62 # bila kusahau kujiunga ni bureeeeeee

.swali kubwa la msingi unalotakiwa kujiuliza ni kwamba, umejisajili?

Na k**a ndio, umemaliza usajili wako?

K**a sio hujachelewa...
Jisajili au Malizia usajili wako leo ili number ya bahati *150*62 # iwe yako

K**a una swali ni wakati wako sasa wa kuuliza

27/11/2018

Wiki nyingine ya ushindi ndio hiyooo inakuja, ambapo zawadi ya fedha taslimu mpaka milioni mbili itazawadiwa kwa mshindi mmoja mwenye bahati.

..swali kubwa la msingi unalotakiwa kujiuliza ni kwamba, umejisajili?

Na k**a ndio, umemaliza usajili wako?

K**a sio hujachelewa...
Jisajili au Malizia usajili wako leo ili number ya bahati *150*62 # iwe yako

K**a una swali ni wakati wako sasa wa kuuliza SimAccount , Crdb Simaccount

24/11/2018

Wiki nyingine ya ushindi ndio hiyooo inakuja, ambapo zawadi ya fedha taslimu mpaka milioni mbili itazawadiwa kwa mshindi mmoja mwenye bahati.

..swali kubwa la msingi unalotakiwa kujiuliza ni kwamba, umejisajili?

Na k**a ndio, umemaliza usajili wako?

K**a sio hujachelewa...
Jisajili au Malizia usajili wako leo ili number ya bahati *150*62 # iwe yako

K**a una swali ni wakati wako sasa wa kuuliza

Want your business to be the top-listed Furniture Store in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Mikocheni
Dar Es Salaam
255