Membar iron furniture

Membar iron furniture

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Membar iron furniture, Membersaid52@gmail. com, Dar es Salaam.

18/02/2026

Ramadhani Kareem to all muslim..

24/10/2025

Safari kuelekea Congo..πŸ‡¨πŸ‡©

Photos from Membar iron furniture's post 07/01/2025

The best welding care available for your home….
+255789600500

08/01/2023

Nilipo muomba mungu anipe utajiri akanikumbusha uwepo wako mama yangu. Alhamdulillah.🀲🏽

02/12/2022

New fashion in town.πŸ”₯πŸ”₯ Njoo tukufanyie kwa bei nafuu sana.

02/12/2022

Tunachora maua ya Design yoyote kwenye bati kwa gharama nafuu karibuni.

+255789600500

02/12/2022

πŸ”₯ +255789600500.

23/11/2022

Wood gate. Quality material good finishing πŸ”₯

+255789600500.

06/10/2022

*TUNAPO ZUNGUMZIA SWALA LA KUFANYA KAZI KWA GHARAMA ZETU TUNAZINGATIA VIGEZO VIFUATAVYO:*

(1) Site ikiwa ndani ya
*DAR ES ALAAM* ikiambatana na titles kamili za site/eneo husika.

(2) Ni muhimu ku sign mikataba na mmiliki halali wa site.
Endapo kutalazimika kusign mikataba na msimamizi/mtu wa karibu na mmiliki wa site basi msimamizi uyo awe *MTANZANIA* aliye kidhi vigezo vyote vya uraia wake na hawe na *Power of attoney* kutoka kwa mwanasheria wa mteja

(3) Mikataba yote itasainiwa mbele ya mwanasheria wa kampuni ya *MEMBAR IRON COMPANY * au wa *MTEJA.*

(4) Mikataba yote ikisha sainiwa pande zote mbili hatua itakayofata ni utekelezaji.
Endapo upande mmoja utalazimika kuvunja mkataba wakati kazi inaendelea,basi upande wa mvunja mkataba utalipa gharama zote za kazi husika kwa %100 na %20 ya kwa upande wa mteja.
Na hiwapo kampuni itahusika na ivunja makubaliano..mteja atarudishiwa 100% ya malipo yake yote aliyolipa hawali.

(5) Endapo Site ipo nje ya
*DAR ES ALAAM* mteja atahitajika kulipa gharama za kazi husika kwa %60 ikiwa na malipo ya *ADVANCE* kabla ya kuanza kazi.

(6) Endapo site ipo nje ya *DAR ES ALAAM* na mteja atahitajika kulipia malighafi zote za kazi yake *(MATERIAL)* atalipia %45 ya gharama za *MATERIAL* na gharama zilizobaki itabeba kampuni mpaka kumalizia kazi husika. Mwisho wa kazi tutakupa *Invoice* ya material 55% iliyobaki na gharama za ufundi baada ya kulipa *Advance*

Tuna tegemea kufanya kazi na wewe kwa weredi na ubora wa hali ya juu sana.

Karibu *MEMBA IRON COMPANY*

Want your business to be the top-listed Furniture Store in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Membersaid52@gmail. Com
Dar Es Salaam
0785620233