10/09/2023
Kwa wewe ambae utajoin group letu
Tunashauri ni vizuri ukaweka mikakati vizuri ili upate vitu vyako kwa muda mfupi naweka juu link ya kujiunga na group kila siku ni 10,500
Majina 25 na jina moja linachukua vitu vyenye thamani ya shilingi 780,000
Ukitaka zaidi unaongeza majina
Tuwahini kwenye group
0716206696
08/09/2023
Imepokelewa leo kwa mteja wetu chamazi dinning viti sita 1,550,000
0716206696
06/09/2023
Mimi ndio muhusika mkuu wa hii page karibu sana niwahudumie
Uaminifu ni mtaji
Unapata unachokiona kwenye picha
06/09/2023
Unapata unachokiona
Tunathamini pesa yako
3:2:1:1
06/09/2023
Tuna seti ya hili kochi 3:2:1
Kwa shilingi 890,000
Rangi unajichagulia boss wangu
UAMINIFU MKUBWA SANA
06/09/2023
Seti ya hii kochi imakua 3:2:1:1
Hizo 1:1 ni arm chair
Kitambaa unajichagulia rangi
0716206696
Bei yake ni 1,850,000
Lina mneso wenye fiber na spring
06/09/2023
Uzuri wa hili kochi ni kuwa lisevu nafasi hasa ikiwa una nafasi ndogo
Karibu tukutengenezee kwa ghara ya tsh 780,000 na Delivery bure hadi kwako
0716206696
26/08/2023
Hii meza ni tsh 650,000
Ni hardwood
Ina viti vinne
0716206696
26/08/2023
L SHAPE SOFA WATU 6 BEI NI 650,000
UNACHAGUA RANGI MTEJA WETU
ORDER SIKU 4
TUPO UBUNGO RIVERSIDE
0716206696
26/08/2023
700,000
L SHAPE WATU 5
HILI LIMETENGENEZWA KWA FIBER NA SPRING BOX LINA KUPA MNESO WA UHAKIKA HALIUMIZI MGONGO
TUNAKULETEA HADI KWAKO
Tamu saana laini sana full fiber na spring
Delivery bure
26/08/2023
Hii sofa ni laini
Ina spring , ina full fiber
Yaani ni kochi la viwango
26/08/2023
Una meza au unapakata chakula kwa miguu jirani
Karibuni sana tunatengeneza furniture aina zote kwa bei nafuu na uimara ni sifa kui tunayozingatia
Makabati ya jikoni
Makabati ya nguo ya ukutani na kawaida