04/12/2024
Damiani Mushi
agriculture Baba
04/12/2024
04/12/2024
Camanda Muliro, HONGERA kwa kazi nzuri, lkn bado hujafika mbali zaidi kwa watekaji na wauaji wa viongozi mbali mbali ila hao hao wachunguze kwani wanaweza wakaka ni kundi moja hilo hilo
02/12/2024
๐ Namba za Feisal msimu huu mpaka
๐ฎMichezo 13
โฝ๏ธ Mabao 4
๐ฏ Assist 5
โณ Jumla amehusika katika mabao 9
๐ Kwa wazawa Feisal ndiyo mchezaji aliyehusika kwenye mabao mengi kwenye ligi kuu soka Tanzania bara (NBCPL)
๐ kiujumla Fei analingana na Jean Ahoua wa Simba ambaye pia amehusika kwenye mabao 9 akifunga (5) na kutengeneza (4)
๐Je msimu huu ushindi ni wa Fei na Ahoua ?
02/12/2024
02/12/2024
ALIYEKUWA Kocha wa Singida Black Stars, Patrick Aussems amewashukia waajiri wake hao wa zamani kwa kuwaita watu wasio na weledi.
-
Katika maelezo yake kwenye mtandao wake wa kijamii wa Instagram, Aussems amesema kilichomng'oa yeye na Msaidizi wake, Dennis Katambi klabuni hapo si matokeo mabaya bali kutoelewana na uongozi klabuni humo.
-
Kocha huyo ameongeza kwa kuwashukuru Watanzania kwa mapenzi waliyompa katika muda aliokuwa hapa nchini huku akionesha kushangazwa na ukarimu wa mashabiki wa Simba pamoja na wengine.
-
Soma zaidi katika Website ya SpotiLeo https://spotileo.co.tz/
-
02/12/2024
02/12/2024
Nyumba kwanza, ili nipate eneo la kuhifadhi gari yenyewe
02/12/2024
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Telephone
Website
Address
Mbezi/sakuzi
Dar Es Salaam
NILL
02/12/2024