01/05/2020
Heri ya siku ya wafanyakazi kwenu Nyote!!
Oyaa is changing the way people get around Zanzibar.
Oyaa Cabs mobile based application connects people to fast, convenient, affordable and safe rides from professional taxi and other for-hire drivers.
01/05/2020
Heri ya siku ya wafanyakazi kwenu Nyote!!
26/04/2020
Heri ya Miaka 56 ya Muungano Mtanzania mwenzetu, katika miaka hii tumekua pia kiteknolojia, hata leo unaweza kaa nyumbani ukaagiza gari ikufuate ikupeleke popote utakapo kwa gharama nafuu, nayo ni tudumishe Muungano!
24/04/2020
kutoka kwetu kuja kwako!.
12/04/2020
Pakua kwa safari zako zote, kuepuka misongamano, Tunakutakia Heri ya Sikukuu ya Pasaka.
12/04/2020
Pakua kwa safari zako zote, kuepuka misongamano, Tunakutakia Heri ya Sikukuu ya Pasaka.
06/04/2020
🤏🏽 | Kujionea njia unazopaswa kuzitumia ili ujikinge na maambukizi ya Virusi vya Covid 19, chukua Hatua sasa
-19 @ Zanzibar, Tanzania
23/03/2020
Kipindi hiki cha mapambano ya kujikinga dhidi ya tunaendeleza utamaduni wetu wa kukuthamini kwa kuhakikisha safari zako zinakuwa na salama wakati wote. Anza safari na leo.
19/03/2020
Sisi k**a tumechukua tahadhari kujikinga na maambukizi ya Virusi vya corona, kupitia hii elimika juu ya ugonjwa hui na ujikinge.
Epuka Mikusanyiko ya watu, REQUEST kwa usafiri wa Peke yako!
TAZAMA: Tumia njia hizi kujikinga na maambukizi ya
16/03/2020
Weka Gia tuanze safari, safari ya kufika popote utakapo hapa Zanzibar ukiwa na swahiba wako RQUEST SASA!!
14/03/2020
Oyaa washkaji wanapiga pesa huku, Jisajili sasa na OyaaTaxi Driver ili kutengeneza pesa na gari yako mwenyewe, yani wafanyabiashara wanasema ifanye gari yako kuwa Asset na sio Liability.
13/03/2020
Heri ya siku ya kuzaliwa Mhe. Rais, Baba yetu.