17/06/2026
Je, Unajua? 🤔
Mbao ngumu aina ya Mninga na Mkongo zina uimara wa hali ya juu kuliko mbao nyingi nyingine kutokana na muundo wake wenye tabaka imara na msongamano mkubwa. Hii huzifanya kuwa:
✅ Zinadumu kwa miaka mingi
✅ Zinastahimili matumizi ya kila siku
✅ Haziathiriki kirahisi na wadudu
✅ Zinatoa mwonekano wa kifahari na wa asili
✅ Ni uwekezaji wa muda mrefu kwa nyumba au ofisi yako
Chagua ubora unaodumu. Chagua LECA Furnitures & Building Materials.
📞 +255 677 799 186
📍 Morogoro Road, Ipagala, mkabala na Shule ya Feza Dodoma
LECA ✨Tunatengeneza ubora unaozungumza wenyewe. 🔥🔥
Leca building and furniture
Leca building and furniture
Leca building and furniture
“Quality is our priority “
16/06/2026