18/04/2026
classic Comfort Furniture DSM
Classic Comfort Furniture DSM
Tunatengeneza sofa, vitanda vya mbao na makabati ya kisasa kwa bei nafu
18/04/2026
28/03/2026
SOFA SET YA KISASA L-SHAPE 😍🔥
Unatafuta sofa ya kisasa yenye muonekano wa kifahari na comfort ya hali ya juu? Hii hapa imekufaa kabisa!
Imetengenezwa kwa ustadi mkubwa, ikiwa na sponge imara, kitambaa laini kinachovutia na muundo wa kisasa wa kuvutia macho 👌
✔️ Inakuja na sehemu ya kukaa kwa familia nzima
✔️ Ina sehemu za kuweka vitu (side trays) kwa urahisi zaidi
✔️ Muundo wa kisasa unaobadilisha kabisa muonekano wa sebule yako
✔️ Inafaa kwa nyumba za kisasa na ofisi
💯 Tunapokea oda kulingana na rangi unayotaka
📦 Tunasambaza hadi ulipo
📲 Wahi kuagiza sasa kuepuka kuchelewa!
📍 CLASSIC COMFORT FURNITURE – DAR ES SALAAM
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Address
Dar Es Salaam