Tunapenda kutoa shukurani za dhati kwa mteja wetu kwa kutuamini kutengeneza Sofa hii yenye muundo wa kipekee.
Pekee Furniture and Decor
Tunatengeneza na Kuuza Furniture za Kisasa zenye Ubora wa Hali ya Juu kwa Bei Nafuu.
Kwenye Upande wa Finishing huwa tunazingatia details 📝
Agiza Bidhaa bora za Furniture kutoka kwetu 🚚
📍 Tunapatikana Kimara S**a, Dar
K**a upo Dar es Salaam Agiza Furniture bora toka kwetu tukuletee hadi nyumbani kwa Uaminifu Mkubwa.
K**a ni Bachelor unatafuta 280,000 unachukua hii unaweka ndani, unatafuta na coffee table simple 🔥. Shughuli inakua imeisha.
📍Tunapatikana Kimara S**a, DSM
☎️ 0777999900
Ukihitaji Dressing table unique na stylish, utazipata kwetu kwa Bei rafiki kabisa.
📍Tunapatikana Kimara S**a, DSM.
Unatafuta sofa kali ya kisasa? Angalia hii! 🔥
Quality ya kimataifa, bei ya kitanzania. Spacious, comfortable.
Imewekwa Spring na Fiber.
Bei 550,000
📍Kimara S**a, DSM.
📍
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Dar Es Salaam