itel

itel

Share

Karibu!

Katika ulimwengu wa itel mobile,hapa utapata habari na Maelezo kuhusu bidhaa za itel na promosheni, pia kuna shughuli za mtandaoni zinazokuhusu wewe moja kwa moja utaweza hata kujipatia zawadi.

Photos from itel's post 05/06/2026

Kila rep ina maana. Kila hatua ina hesabu. πŸ’―πŸ‹οΈβ€β™€οΈ

Endelea kujisukuma leo kuliko ulivyokuwa jana.

Photos from itel's post 29/05/2026

Umaridadi wako una match perfectly na itel A200 🧑

27/05/2026

πŸŒ™ Eid Al Adha Mubarak kutoka itel Tanzania! 🧑
Sherehekea kila moment ukiwa na itel A200. πŸ“±βœ¨

Photos from itel's post 25/05/2026

Kupiga story na mtu wako favorite huku vibe iko sawa πŸ˜„πŸ“±πŸ€

City 200 ni ile simu inayokuwa part ya daily moments zako bila kujisukuma sana.

18/05/2026

Hongereni sana washindi wa πŸ”₯πŸ“±

Tumefurahia kuona jinsi mlivyotuonyesha hustle zenu na namna ambavyo sifa za A200 zinavyosupport kazi zenu za kila siku πŸ’ͺ

Asanteni kwa Washiriki wote, ku-create na kuonyesha nguvu ya hustle ya Kitanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Na washindi Wetu waliofanya Vyema zaidi ni


mpemba




πŸ‘† Tafadhali wasiliana nasi DM kwa maelekezo ya zawadi zenu🎁

13/05/2026

Hongereni sana washindi wa πŸ”₯πŸ“±

mpemba


Photos from itel's post 13/05/2026

Hongereni sana washindi wa πŸ”₯πŸ“±

Tumefurahia kuona jinsi mlivyotuonyesha hustle zenu na namna ambavyo sifa za A200 zinavyosupport kazi zenu za kila siku πŸ’ͺ

Asanteni kwa Washiriki wote, ku-create na kuonyesha nguvu ya hustle ya Kitanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Na washindi Wetu waliofanya Vyema zaidi ni


mpemba




πŸ‘† Tafadhali wasiliana nasi DM kwa maelekezo ya zawadi zenu🎁

Hustle Inaendelea, A200 Ipo

10/05/2026

Mama wengi walikesha wakituombea kabla hata hatujajua maana ya maisha β€οΈπŸ™
Leo chukua muda kidogo kumuombea yeye pia.

β€œPray for her.”
Kwa sababu dua za mama hazijawahi kupoteza nguvu. 🌸

Happy Mother’s Day πŸ’
itel A200 β€” The best treat for Mum πŸ“±βœ¨

Photos from itel's post 08/05/2026

πŸ’ƒ Fashion + Tech = Mimi!
Outfit yangu inang'aa, na simu yangu pia inang'aa! itel City 200 β€” companion wangu wa kila siku, iwe mitaani au nyumbani. Life ni mzuri! 🌟πŸ”₯

06/05/2026

Unyama ni mwingi sanaaaaaaa ukiw na City200πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Want your business to be the top-listed Furniture Store in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address

Dar Es Salaam