massawe_furniture

massawe_furniture

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from massawe_furniture, Furniture, Dar es Salaam.

10/09/2021

Tuna repair na kuhuza furniture aina zote

Pia tunatoa ushauri kwa mteja kutokana na kazi atakayoitaji ndugu mteja kumbuka kuwa. Kumtoa fundi kiwani gharamayake tsh.10000

27/04/2021

Kwa kuona bidhaa zetu kilasiku Karibu what's app no.0785014311 jiunge leo upate itajilako
Umo tuna offa kabambe

20/04/2021
20/04/2021

Lipia mzigo ukifika ni 180000 tu inakuwa yako

20/04/2021

Lipa mzigo ukifika ni 120000 inakuwa yako

28/03/2021

Kwa umri wangu napenda kumuita mama
Uyu RAISI ndio yule watanzania waliekuwa wanamuitaji ila kitambo kidogo tuvumilie kilakitu kitakuwa sawa

Tukumbuke chocho ufanyacho gizani nulu ukumbua
MAMA SAMIA NI MWANGA NA NULU YA TANZANIA
Ombilangu kwa watanzani tumuache mama ajipange

Kaziyetu k**a raiya nikumuomba MUNGU
Ampe uhai na afya njema mama yetu

08/03/2021

Wai sasa ujipatie coffee table kwa 180000
Unaweza kuagiza tukakuletea mpaka kwako
Call.0785014311

04/03/2021

Kwa uchunguzi nilioufanya wakina
Napenda kutamka kuwa hawajamaa ni matapeli
Na tungeiomba serikali kupitia Vyombo usika kuvichukulia atua ivi vikundi vinavyojitangaza Mtandaoni K**a kilivyo hiki inaonyesha jinsigani wanavyotapeli wananch kwa mgongo wa TCRA

Mwananch hepuka kujingiza ktk mikono ya matapeli kwa kisingizio cha mikopo

Want your business to be the top-listed Furniture Store in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00