16/06/2026
Nellymetalcraft
Natengeneza furniture zote za chuma
call/Whatsapp 0788149807
16/06/2026
Natengeneza kwa Order bidhaa zote za chuma kwa gharama nafuu na furniture za chuma aina zote
-Viti vya Restaurant, Bar, Dining table, kibalazani, Nail Salon, liquor store, Counter, Juice point, Sofaset za chuma nk
-Stendi, Viti na Meza kwaajili ya kupambia ukumbini na kwenye events mbalmbal
-Mashelf ya chuma ya dukani, magenge ya kisasa, supermarket, nk. aina zote kulingana na unavyotaka
-Vitanda vya chuma vya Guest, Nyumbani, Dabodeka, hostel nk
-Tunafanya kazi za kisasa na zenye ubora wa Hari ya juu sana
-Site nakuja kupima na kushauriana kwa gharama ya mteja karibuni sana
Instagram
Tupigie|WhatsApp|Sms
0788149807 tsapp|0748411643 call or sms
Tupo:Dar-Airport
Click here to claim your Sponsored Listing.